Ni ngoma mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka kwa MwanaFA pamoja na AY wakiwa wamemshirikisha msanii kutoka Nigeria maarufu kama J Martins, ngoma inaitwa “BILA KUKUNJA GOTI”.
Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Marco Chali kutoka MJ Records.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa chini …
Post a Comment