Mwanahabari wa Channel 10 mkoani Mara Augustine Mgendi akipeana Mkono na Mkuu wa Mkoa wa Mara baada ya kupokea Cheti kwa niaba ya African Media Group (Channel ten) kutoka wizara ya Afya na ustawi wa Jamii katika Utoaji Bora wa huduma kwa jamii
Mwakilishi wa TBC Mara Emanuel Amas naye akiiwakilisha TBC
Maandamano yalianza vyema
Ukaguzi wa Mabanda ukiendelea
Naibu Waziri wa afya Dr Seif akizinfua program ya ujumbe mfupi wa Maneno kwa mchangiaji damu kwa atakayekuwa anatumia tigo tu
Wauguzi hawakuwa nyuma
Viongozi mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo
Bw Joseph Mtalemwa -Menaja wa Tigo kanda ya Ziwa
Naibu waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dr Seif Rashid kushoto
Jamaa kachangia damu mara 24 hivyo kapata cheti
Mmoja wa mashuhuda katika msaada wa damu Bw Bigambo Jeje(Picha zote na mwanawaafrika Augustine Mgendi)
إرسال تعليق