Leo
jioni kuna msg zilikuwa zikitembea zikisema kuwa Prod Majani amepigana
na mtangazaji kutoka Clouds FM anajulikana kwa jina la Adam Mchomvu
maeneo ya Learders Club wakati sio kweli kabisa. P-Funk yeye alikuwa
busy na kamati na hadi uvumi huo unatokea Adam alikuwa hayupo kwenye
eneo la tukio kabisa. Adam yeye alitokea majira ya jioni na kushangaa
story hizo, picha hiyo niliwapiga wakiwa pamoja ili kuwaambia watu kuwa
huo uvumi ni kutaka kuleta mvurugano wakati huu tuliokuwa nao
wakuondokewa na mwenzetu Albert Mangweha
UKWELI KUHUSIANA NA MESSAGE ILIYOSAMBAA SANA KUWA P - FUNK NA MCHOMVU WALIPIGANA VIWANJA VYA LEADERS HUU HAPA
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT
Post a Comment