| Home sweet home,nikijikoki kuweka silaha kabisa kwenda kufanya unyama wangu...!! |
| Safari ikaanzia hapa kuelekea Barbershop kuweka kichwa sawa kabisa u know as always,msafiiiii.....!! |
| QBoy msafii akichukua ukanda akiniweka kichwani sawa.... hahaha wasafii kuna kila kitu...!! |
| Hapa nilikuwa tayari nimewasili studio nikijiweka sawa usoni....!! |
| ON SET MAVAZI.....Qboy Upon this...! |
| White & Black,Gold kwa wingii...... KUONA PICHA NYINGINE ENDELEA HAPO CHINI: |
| OLD SCHOOL ilihusika sana....!! |
| Unaonaje hapa....? itatoka mchicha? ebu tiririka.... |
| On set tayari kwa zoezi kuanza.....napenda sana picha na hizi ni kwaajili yenu mashabiki zangu wa nguvu... |
| Hapo sasa..... behind the camera mnyama mwenyewe,hahahaa akiakikisha picha zinatoka murua..! |
| Qboy msafii nae akijiweka sawa kabisa tayari kwa kumwekuliwa mapicha picha ya uhakika...!! |
| Hahahaha nilikuwa sijajiona mkanda umekaa vibaya,Qboy bhana,ameliona tatizo mapema kabla picha azijaendelea.....Much Love to Him....!! |
| SECOND ROUND......old school kibaba baba zaidi....au unasemaje?? Jus wait n see |
| Mabadiliko yanahitajika.......busy on phonee unajua nani kanitext....?? hahaha usione raha ushazoea nikuambie, leo bahatisha mwenyewe...!! |
| Dooh...huyu jamaa ana mkono hatari sana kwenye maswala aya ya picha....hatari sana hii picha nayo angalia hapa...! |
| Kiujana jana zaidi now....THIRD ROUND.... |
| Koti linahitajika kweli...? lemmi try it on |
| Hivi je naonekanaje....?? |
| Humo sasa..... |
| Here we Go......mapicha picha yanahusika tu zaidi... |
| Swagg On... siku zote mpishi ula hata kidogo ya chakula anachopika,aya sasa Baada ya kuiweka sawa ajajajajaja kiujana ujana zaidi ndo inahusika time hii.. |
| I even Look Good in a Broken Mirror.... |
| Muziki upo damuni mwangu...popote lazima nikiwepo hii kitu lazima iwepo labda kwenye swala au usingizini..... |
| Ni muda wa ile picha niliyokuwa naisubiria.....I show them what i got i go harder ni mazoezi tu ukifanya unaweza pata kitu kam hiki.... |
| My Boy Toyi & Qboy msafiii on this...... |
| 4TH ROUND.......Red n Black,white kwa mbali... au vipi bhanaa...?? |
| Like to Like,Comment to comment hapo....sisemi kitu nakuachia wewe shabiki wangu wa dhati utupie neno hapo kati.... |
| Black & Orange Qboy msafii mwenyewe akifanya yake.....usafi usafi tu |
| My Bwoy Kisula wa kiface upon this behind the camera..... |
| Doooh hatari sana...i so much love this photo......!! |
إرسال تعليق