“She
is doing the Azonto from Ghana, and a girl right here from Tanzania,
beauty from Kenya to Tiyola (???) African women do things the best
ways,” ni baadhi ya maneno kwenye bridge ya ngoma hii kali na mpya ya
msanii wa Nigeria Lynxxx aliyemshirikisha mmoja wa wasanii matajiri
kabisa barani Africa, Banky W.
Kama wewe ni Dj ama mtangazaji unasoma habari hii, wimbo hupaswi kuukosa wimbo huu.
إرسال تعليق