
Habari
kutoka ndani ya klabu ya Arsenal ya Uingereza zinasema ya kuwa zipo
mbioni kumuuza mshambuliaji wa kutoka Ivory Coast Gervinho ili kuweza
kutoa nafasi ya kumsajili Higuain, kwa mujibu wa kituo cha habari cha
michezo cha Sports direct News kimemnukuu Wenger akisema wanajiandaa
kumuu za mshambuliaji huyo ili kupisha usajili wa jina kubwa kutua the
Gunners, imeelezwa mchezaji huyo atauzwa kiasi cha £8million na Arsenal
kupata hasara ya £3million ambazo atarudishiwa Gervinho.
Tayari
klabu za Fenerbache and Galatasaray zimeshaonyesha nia zao za kutaka
kumnyakua mshambuliaji huyo ambaye tayari amekwisha ipachikia Arsenal
magoli 45 tangia ajiunge na Arsenal.
إرسال تعليق