Meneja
wa Mradi wa kuwawezesha wananawake wa “MWEI” Grace Lyon
akiwaelimisha baadhi ya wateja waliotembelea banda la Vodacom katika
maonesho ya 37 ya sabasaba ,namna ya mradi huo unavyofanya kazi kwa
kuwawezesha wajasiriamali wadogo wanawake kupata mikopo isiyokuwa na
riba mradi huo hadi sasa umewawezesha wanawake zaidi ya 7,000.
Afisa
wa Vodacom akimueleimisha moja ya wateja waliojitokeza kupata huduma
katika banda la Vodacom lililopo katika maonesho ya 37 ya sabasaba
jijini Dar es Salaam, Kampuni hiyo sasa imewawezesha wateja wake kulipia
bidhaa kupitia huduma ya M pesa katika maonyesho hayo.
Hili ndilo Banda la Vodacom linavyo onekana kwa nje katika viwanja vya Sabasaba.
Wafanyakazi
wa Vodacom Tanzania walioko katika maonesho ya 37 ya sabasaba jijini
Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja tayari kabisa kwa kutoa
huduma kibandani hapo.
إرسال تعليق