Kwenye
chapisho lililotangulia siku kadhaa, ilikuwepo taarifa inayomnukuu dada
Chemi aliyehudhuria mkutano wa Injili wa Askofu Zakaria Kakobe
uliofanyika Canada, akisema: “Jana kijana wa Kichina aliyekuwa kwenye wheelchair aliweza kutembea,” na jana kwenye blogu yake ameweka picha za kijana huyo. Hizi zilizopachikwa hapa ni baadhi tu, bofya hapa kutembelea blogu yake kuziona nyingine.
Post a Comment