Habari
zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Najmunisa linalofanya safari
zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali eneo la Mbande
mkoani Dodoma na kuua watu wanne na kujeruhi abiria kadhaa. Basi hilo
lililokuwa linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi
la mbele. Mashuhuda wa tukio hilo wanadai kuwa mali zote za abiria ziko
salama kutokana na uwepo wa Check Point ya polisi jirani na eneo la
ajali
إرسال تعليق