Baada
ya malalamiko kufika polisi juu ya kitendo hicho cha wahudumu wa wa
mgahawa huo wa Redneck Heaven, ulipo ndani ya jimbo la Texas, mamlaka ya
jiji waliamua kubadili sheria zake, huku zikikataza wanawake kuficha
matiti yao kwa kutumia michoro.
Mwanamke
mmoja kwenye kikao kimoja cha halmashauri hiyo ya jiji, kilichofanyiaka
siku ya Jumatatu alitoa hoja juu ya kitendo hicho.
“Tunashtushwa sana kuona hawa waschana wadogo hawavai nguo,” Catherine Holliday alisema.
CHANZO: Huffington
“Tunashtushwa sana kuona hawa waschana wadogo hawavai nguo,” Catherine Holliday alisema.
CHANZO: Huffington
إرسال تعليق