Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea na Wajumbe
wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Musoma Vijijini waliokutana kujadili
Rasimu ya Katiba. Mkutano huo ulifanyika wilayani Musoma.

Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani
Kilimanjaro Bi. Elingao Mshanga akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba
katika mkutano uliofanyika mjini Moshi juzi.

Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa
Bw. Godfrey Sichona akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano
uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.

Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani
Kilimanjaro Bw. Dennis Tesha akizungumza katika mkutano wa kujadili
Rasimu ya Katiba uliofanyika wilayani humo juzi.

Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu akiongea na
baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Katiba la wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa
wakati wa mkutano wa kujadili Rasimu ya Katiba. Mkutano huo ulifanyika
wilani Kalambo hivi karibuni.

Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro Prof. James
Mdee akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika
mjini Moshi hivi karibuni.
إرسال تعليق