MBUNGE
wa Chalinze, wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Saidi Mwanamdogo,
akizungumza na wanachama wa Mfuko wa Maendeleo ya Wanambwewe waishio Dar
es Salaam (MNDF), leo katika ukumbi wa Shule ya Msingi Ali Hassani
Mwinyi, mjini Dar es Salaam. Wanachama hao walimwalika kwenye kikao chao
cha kujadili jinsi ya kuuendesha mfuko huo kwa manufaa ya wananchi
wengi.
Mbunge wa Chalinze, Saidi Mwanamdogo akizungumza wakati wa mkutano huo.
Katibu
wa wanachama wa Mfuko wa Maendeleo ya wanamtandao wa Mbwewe waishio Dar
es Salaam, Hassani Msonde akizungumza mwanzoni mwa kikao
Mwenyekiti wa Umoja huo, Rajabu Papa akifungua kikao hicho
Mjumbe wa Kamati ya Umoja huo, Fatuma Kikwappe akisoma risala huku viongozi wakimsikiliza kwa makini akiwemo Mbunge Bwanamdogo
Fatuma akiendelea kusoma risala hiyo
Kisha akaikabidhi risala hiyo kwa Mbunge wa Chalinze, Saidi Mwanamdogo
Mbunge
Saidi Mwanamdogo akiwakabidhi dola za Marekani, viongozi wa umoja huo,
ikiwa ni mchango wake kwa ajili ya kufanikisha usajili.
Mwenyekiti akimkabidi Mbunge Katiba ya Umoja
Fatuma na mjumbe mwenzake wa Kamati katika Umoja huo wakipitia makabrasha kwa makini
Mbunge wa Chalinze Saidi Mwanamdogo akiagana na viongozi wa Umoja huo baada ya kushiriki kikao>IMETAYARISHWA NA theNkoromo Blog
إرسال تعليق