Alhaji
Yusufu Saidi Mfinanga wa Kibaha Njuweni pamoja na mkeke Mama Mfinanga
wamewaomba Watanzania kudumisha amani na upendo kwa kuvumiliana na
kuondoa tofauti zetu za kidini na kisiasa kwa kuwa kwa kufanya hivyo
ndipo Mwenyezi Mungu atakapoendelea kuijalia amani na baraka nchi ya
Tanzania.
Mfinanga amesema kupendana huleta maendeleo kwa hivyo tuswali na kuheshimu mamlaka za Serikali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha na kusisitiza juu ya amani, upendo na utii.
--- Imewasilishwa na Christopher Mfinanga

إرسال تعليق