BARAZA LA KATIBA LA WABUNGE WANAWAKE LAMALIZIKA LEO BAGAMOYO

 Mwezeshaji katika baraza la katiba la wabunge wanawake Tanzania Jaji Mstaafu Mhe. Jaji Mstaafu Eusebio Munuo akiwakilisha mada kuhusu yaliyomo katika rasimu ya katiba.
 Wabunge wanawake wanaunda baraza la katika la Chama cha wabunge wanawake Tanzania (TWPG)  wakifuatilia mada kwa makini

 Mmoja wa Wabunge Mhe Esther Bulaya akijadili rasimu ya katiba wakati wa baraza la katiba la lilifanyika Bagamoyo
 Makamu Mwenyekiti wa TWPG Mhe. Suzan Lyimo akifafanua jambo wakati wa baraza hilo

 Mwenyekiti wa TWPG mhe. Anna Abdalah akihutubia wajumbe wa baraza la  Wabunge wanawake wanaunda baraza la katika la Chama cha wabunge wanawake Tanzania (TWPG) kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufunga baraza hilo.

  Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Jaji Joseph Warioba akifunga rasmi baraza la katiba la wabunge wanawake waliokutana kujadili rasimu ya katiba ili kutoa mapendekezo

 Waheshimiwa wabunge wakimpongeza Mhe. Warioba baada ya kufunga rasmi baraza hilo.

 Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Jaji Joseph Warioba akiwa na katibu wa TWPG Mhe. Angela kairuki na Naibu katibu wake Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa baada ya kufunga mkutano wa siku tatu wa baraza hilo
 Mwenyekiti wa chama cha wabunge wanawake (TWPG) mhe. Anna Abdalah akiteta jambo na katibu wake ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angela Kairuki
 Mwenyekiti wa chama cha wabunge wanawake (TWPG) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu maazimio ya baraza la wabunge wanawake lililokaa siku tatu kujadili rasimu ya katiba na kuainisha mapendekezo yao. Kushoto ni  Naibu katibu wa TWPG Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa  na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TWPG Mhe. Suzan Lyimo na  katibu TWPG ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angela Kairuki.

Post a Comment

Previous Post Next Post