NSSF YAZIDI KUTOA ELIMU JUU YA FAIDA YA MFUKO HUO NDANI YA MAOENESHO YA NANE MJINI MOROGORO.

 
 MKUU wa idara ya Uhusiano NSSF Taifa Eunice Chiume (mwenye t-shirt ya kijani) akisikiliza malezo yanayotolewa kwa mmoja wa wanachama wa mfuko huo na Afisa mfawidhi Matekelezo NSSF Mkoa wa Morogoro Christopher Msagati  Katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere maarufu Nanenane nje kidogo ya Mji wa Morogoro.
Afisa mwandamizi wa mafao katika mfuko wa NSSF Mkoa wa Morogoro Adolfrida Mulokozi akitoa elimu ya faida ya mfuko huo kwa wanachama wapya ndani ya viwanja vya  Mwalimu Julius Nyerere maarufu Nanenane nje kidogo ya Mji wa Morogoro pembeni ni mwenye T-shirt ya kijani ni mkuu wa idara ya uhusiano NSSF Taifa Eunice Chiume.

Post a Comment

أحدث أقدم