Ahsanteni
sana wote mliojitokeza kutufariji during this very difficult time,
ahsanteni wote mliotuweka kwenye dua na maombi yenu, shukrani za dhati
ziende kwa wote mliofanikisha mazishi ya mama yetu mpendwa Christabella
Octavia Kaisi...tunamshukuru sana Mh. Jakaya M. Kikwete na Mama Salma
Kikwete, General Mwamunyange, wafanyakazi wa ofisi ya RITA, ndugu na
jamaa wote wa ukoo wa Kaisi Mwamatandala na wa ukoo wa John M. Chilumba,
majirani na marafiki bila kuwasahau mashabiki wangu(TeamShaa)..kwa
kweli mwenyezi Mungu awabariki sana.
إرسال تعليق