Picha:- Msanii Madee atembelea kaburi la marehemu Ngwair
Hisia0
Mkali wa Bongo Fleva kutoka kundi la Tip Top Conection Madee
ametembelea kaburi la mwanamuziki mwenzake Albert “Ngwair” Mangwea
aliyefariki dunia Mei mwaka huu Mjini Morogoro. Source: teamtz
Post a Comment