Benki
ya NMB Mwishoni mwa wiki ilishiriki futari na wateja wake mjini
Zanzibar. Hii ni katika kuendeleza mahusiano mazuri ambayo yamekwisha
jengeka baina ya wateja wa NMB na benki hiyo.

Maofisa wa NMB wakiwa wameambatana kuingia ukumbini na mgeni rasmi(katikati) katika hafla hii ya kushiriki futari na wateja wa NMB mjini Zanzibar

Mkuu wa kitengo cha akaunti binafsi wa NMB, Abdulmagid Nsekela akiongoza wageni waalikwa katika kupata futari
Meneja Mawasiliano NMB, Josephine Kulwa nae hakubakia nyuma kushiriki wasa mzuri na wateja wa NMB

Post a Comment