
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Kilimanjaro, Leiya
Hermenegild (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya
sh.mil.28 Mkandarasi wa Kampuni ya uchimbaji visima ya Aqwe Drilling and
Construction ya Mjini Moshi, Rishi Shah kwa ajili ya kuchimba kisima
katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Mjini Moshi (MUCCoBS)
chuoni hapo mwishoni mwa wiki.Aliyevaa tai ni Mkuu wa chuo hicho,
Profesa Faustine Bee.

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorice Malulu (wa tatu
kulia)akielekezwa jambo na Rishi Shah wa Kampuni ya Ukandarasi wa
Uchimbaji Visima ya Aqwe Drilling and Construction ya Mjini Moshi
liyokabidhiwa hundi ya sh. mil. 28 za kuchimbia kisima cha maji katika
Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Mjini Moshi (MUCCoBS). TBL
iliyokabidhi hundi hiyo hivi karibuni chuoni hapo, imefadhili uchimbaji
wakisima hicho
إرسال تعليق