
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt fenella Mukangara na Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo waliokaa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi wa Wizara na wageni walioambatana na Botha jana jijini Dar es
Salaam.
Picha zote na Frank Shija - Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akielezea
kufurahiswa kwake na ukuaji wa mchezo wa ngumi hapa nchini alipokutana
na Bondia maarufu duniani na aliyewahi kuwa bingwa wa dunia mara mbili
Francois Botha (White Buffalo) kushoto jana jijini Dar es Salaam.

Bingwa
wa dunia mara mbili wa mchezo wa ngumi Bondia Francois Botha (White
Buffalo) akielezea jambo kwa waandishi wa habari alipotembelea ofisini
kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara
kulia jana jijini Dar es Salaam.
إرسال تعليق