Mwanamke mmoja aliefahamika kwa jina la Sikujua Nyerere mwenye umri wa
miaka 21 mkazi wa kata ya Bwakilachini wilaya ya Morogoro anasadikiwa
kuuwawa kwa kupigwa risasi na askari wa wanyamapori na ngombe 18
zimeuwawa na sita zimejeruhiwa kwa kupigwa risasi katika hifadhi ya
Selous mkoani Morogoro.
Video:- Mwanamke asadikiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa wanyamapori-Morogoro.
Hisia
0
Post a Comment