Video:- Mwanamke asadikiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa wanyamapori-Morogoro.



Mwanamke mmoja aliefahamika kwa jina la Sikujua Nyerere mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa kata ya Bwakilachini wilaya ya Morogoro anasadikiwa kuuwawa kwa kupigwa risasi na askari wa wanyamapori na ngombe 18 zimeuwawa na sita zimejeruhiwa kwa kupigwa risasi katika hifadhi ya Selous mkoani Morogoro.

Post a Comment

أحدث أقدم