
Msemaji wa Wakala wa Huduma za Ajira Bw.
Peter Ugata (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu jitihada
zinazofanywa na wakala hao katika kuhakikisha wanakabiliana na changamoto za
ajira nchini, katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, KUSHOTO ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa.

Mratibu wa Huduma za Ajira kutoka Wakala wa
Huduma za Ajira Bw.Joseph Haule akijibu swali kutoka kwa waandishi wa habari(hawamo
pichani) waliotaka kujua ni mafanikio gani wakala hao wamepata tangu kuzinduliwa
rasmi mwaka 2008,katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha
na Elphace Marwa
Post a Comment