Nando kufanya birthday party Dar ya siku 10 na washiriki 7 wengine wa The Chase mwezi ujao

EvictedProfile_0008_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_511328225149649
Ammy Nando atayaleta macho ya Afrika kwa walau siku 10 Dar es Salaam pale atakapofanya sherehe ya birthday yake mwezi ujao kwa kishindo.
Mshiriki huyo wa Big Brother Africa The Chase ataileta robo ya washiriki wa The Chase Tanzania kumsindikiza kwenye party hiyo ya siku 10.
page
“I will be having a massive bday party week in Dar es salaam next month…the craziest in Africa,” Nando amesema
“Invited on the list; Brothers- Bimp, Angelo, Hakeem and Bolt, Sisters- Annabell, Beverly and Fatima. Schedule for the whole event will be out by next week. Invitations ONLY.”
The question is; will you be invited?

Post a Comment

Previous Post Next Post