Vyama vya CUF, CHADEMA NA NCCR MAGEUZI wakutana Shirikisho la watu wenye Ulemavu
Hisia0
Katika
harakati za kuunganisha nguvu leo tarehe 18.09.2013 wenyeviti wa vyama
vitatu wamekutana na Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu na
kukubaliana mpango mkakati wa kusonga mbele.
Post a Comment