Kushoto ni mwambata wa jeshi anayemaliza muda wake Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani na Canada Brigedia Jenerali Maganga katika
picha ya pamoja na mwambata mpya Kanali Mutta
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Paul Mwafongo, Mfanyakazi wa Ubalozi
Edward Taji, Mwambata anayemaliza muda wake, Brigedia Maganga, Mwambata
mpya wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Kanali
Mutta na Afisa Ubalozi Dkt Mkama katika picha ya pamoja baada ya
kuwasili Rais Dkt. Jakaya Kikwete Washington, DC.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh, Mhe Mbunge
Abdulkarim Esmail Hassan Shah, Afisa Ubalozi Paul Mwafongo na Mhe.
Mbunge James Daudi Lembeli.
Wahemiwa Wabunge katika picha ya pamoja na Wambata wa Jeshi
Post a Comment