
Kupitia akaunti yake ya Instagram @irenewaferegola8, uwoya ameandika:
“Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushaid pia
ntatoa…usilo lijua nikama usiku wagiza ndomana atawadanganya wasio na
akili na wasio mjua….ntapgana nae mpaka tone la mwisho la damu yangu
ntasema kila kitu kwanin ananichukia…na ntaweka kila kitu waz….den wenye
akili watajua naongea nin…simuogop atakama atanichafua kiasi gan…hizo
kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe…I don care kwaatakae muamin
but mwisho wa siku ukweli utaonekana na atataman ardhi ipasuke……mim
irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala kulazimishwa nahaaidi ya kwamba
ntaongea kila kitu btwn me n him….eeh mwenyez ? MUNGU nisaidie. “

Shutuma hizi zimekuja baada ya gazeti la Risasi linalomilikiwa na
Global Publishers katika ukurasa wake wa mbele Jumamosi iliyopita
kuandika habari yenye kichwa cha habari ‘UWOYA MBARONI KWA WIZI WA
SIMU’, na baadaye Irene alipost Instagram picha ya gazeti hilo na
kuandika:

“Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa mawe…shigongo kamua
kunichafua coz nakes nae mahakaman…anadhan ntaiacha never yeye aponde
anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata mkondo wake….minayake mengi
nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali”
إرسال تعليق