Taarifa ya Wizara kuhusu barua za kujiunga na masomo ya Kozi za Afya

 
Wizara ya Afya na Usatawi wa Jamii, Idara ya Mafunzo imetoa taarifa kuwaarifu waliotuma maombi kuwa, "Barua za kujiunga na masomo kwa wale waliochaguliwa, zitatumwa kupitia kwenye anuani zao. Barua hazitatolewa wizarani."

Taaarifa hiyo ilitolewa siku ya Alhamisi, tarehe 24 Oktoba 2013 na kuchapishwa kwenye tovuti ya Wizara.

Tarehe 19 Oktoba 2013, Wizara ilitoa tangazo lenye orodha ya majina, nakala lilibandikwa hapa (bofya hapa kulirejea)

Post a Comment

Previous Post Next Post