Takribani masaa manne sasa, tangu malkia wa Bongo fleva Tanzania, Lady Jaydee
ashushe orodha ndefu ya nyimbo ambazo amefanikiwa kufanya na wasanii
wengine, kwa maana ya kushirikishwa (collaboration) kupitia ukurasa wake
wa mtandao wa kijamii wa Facebook mapema leo.
Kwa mujibu wa maoni ya baadhi ya marafiki ambao wameshiriki kwenye kutoa maoni yao, baadhi yao wameonekana kukubaliana na hilo lakini kwa upande mwingine baadhi wamehoji kwanini hajashirikiana na baadhi yao..

Ni orodha ndefu ambayo Jide amewathibitishia wapenzi wa burudani kuwa yeye si mchoyo wa collabo, na si nyimbo hizo tu bali anaamini kuna baadhi amezisahau. Kiasi kikubwa cha wapenzi wa burudani walifurahia orodha hiyo na kuendelea kumtia moyo wa kuendelea mbele na juhudi zaidi na kuwasaidia wengine

Hata hivyo, mashabiki na wapenzi hao wa burudani walihoji kwanini katika nyimbo zote hizo alizoorodhesha, hits zote alizozifanya na Hamis Mwinjuma, famously known as Mwana FA zimetengwa, kunani? Hits kama “Alikufa Kwa Ngoma”, “Msiache kuongea”, “Hawajui” zote zilitamba kwenye chati kadhaa za muziki
Baadhi ya wapenzi na mashabiki wa Jide walihoji,

إرسال تعليق