
Mkenya Lupita Nyong’o ana-make headlines hivi sasa huko Hollywood kutokana na ushiriki wake kwenye movie ya “12 Years A Slave” ambayo ilisimamiwa na director Steve McQueen na kupata nomination nyingi na tayari imeshashinda baadhi ya tuzo hizo.
Hapa Tanzania kwenye kumbi za Cinema Dar es salaam itaanza kuonyeshwa
Ijumaa ya January 24 2014 pamoja na movie nyingine ambazo zipo kwenye
ratiba hapa chini.




إرسال تعليق