Kama
wengi wenu, nami nimepokea kwa masikitiko usiku huu, taarifa za kifo
cha ghafla cha Ndugu George Liundi ambaye alikuwa Msajili wa kwanza kwa
vyama vya siasa hapa nchini.
Kwa mujibu wa maelezo ya mwana wa marehemu, Taji Liundi, Ndugu Liundi amefariki jana mchana
Kwa mujibu wa maelezo ya mwana wa marehemu, Taji Liundi, Ndugu Liundi amefariki jana mchana
إرسال تعليق