Video
za namna hii ambazo Warembo ndio wanatumika sana kuiuzisha ndio zimekua
na maoni mengi tena maoni tofauti huku wengi wakionekana kushtukia
mchezo wa kuwatumia warembo kwenye engo za ziada ili mauzo yawe makubwa.
Vipato vya Wasanii kwenye video nzuri vimeongezeka pia kwa sababu
huyu ni mmoja pia wa Wasanii wa Nigeria ambao wana account Vevo ambako
kuna mapato huwa yanatokana na idadi ya watu waliotazama video.
Video hii ambayo iliyotoka January 8 2014 imetengenezwa na yuleyule mkali alietengeneza video ya Diamond na Davido.
إرسال تعليق