AY awa msanii wa kwanza wa Tanzania kufikisha followers laki 1 kwenye Twitter, Asante yaanza kuchezwa Trace TV

AY alikuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kuwa na verified account kwenye Twitter na sasa amekuwa msanii wa kwanza tena kufikisha followers laki moja kwenye mtandao huo wa kijamii.
t0w6hcKc
Katika hatua nyingine video yake ‘Asante’ imeanza kuchezwa Trace TV.
Watanzania wengine waliowahi kufikisha followers idadi hiyo ni Zitto Kabwe, Jakaya Kikwete na Hasheem Thabeet.

Post a Comment

أحدث أقدم