Msanii wa filamu aliyekuwa kimya muda mrefu kutokana na kuwa
mjamzito ,Jennifer Kyaka aka Odama amejifungua mtoto wa kiume wiki
iliyopita.


Kupitia Facebook Odama ameandika: Ni kweli nilikua mjamzito na mpaka
sasa tayari nimejifungua mtoto wa kiume,namshukuru sana mungu na
mashabiki zangu wote kwa ushirkiano wenu tangu mwanzo mpaka
sasa…Nawapenda sana.”
إرسال تعليق