BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO ,ABIRIA WANUSURIKA .
Hisia0
Zaidi
ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri
kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika
moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani
Pwani.
إرسال تعليق