Dani Alves awa shujaa kwa kula ndizi aliyotupiwa uwanjani

Mchezaji wa Barcelona, Dani Alves juzi ameonyesha ushujaa wa aina yake baada kula ndizi ambayo alitupiwa uwanjani na shabiki wa timu pinzani ya Villareal kwa ishara ya ubaguzi wa rangi.
Tukio hilo lililotokea Katika mchezo ambao Barcelona ilishinda 3-2 wakiwa ugenini nimechukuliwa kama tukio la kishujaa huku akiungwa mkono na wachezaji pamoja na wadau mbambali wa mchezo wa mpira duniani.
alves28apr14-472815
Dani Alves akiokota ndizi nakuila
Baada ya mchezo huo kumalizika mchezaji huo mwenye umri wa miaka 30 alinukuliwa akisema:I don’t know who it was, but thanks to whoever threw the banana, the potassium gave me the energy for the two crosses which led to a goal.”
Pia baadhi ya wachezaji na wadau mbalimbali walimuandikia ujumbe na picha kupinga kitendo alichofanyiwa mchezaji huyo
Mchezaji wa Barcelona Neymar alipendezwa na kitendo cha
Mchezaji wa Barcelona Neymar alipendezwa na kitendo cha Dani Alves kula ndizi yenye ishara ya kibaguzi




Tazama video

Post a Comment

أحدث أقدم