Mafikizolo washinda tuzo nane za ‘South African Music Awards’

1-670x325
Usiku wa jana wa South African Music Awards, ulitawaliwa na hitmakers wa ‘Khona’ na ‘Happiness’ Mafikizolo walionyakua tuzo tuzo nane.
Miongoni mwa vipengele walivyoshinda ni pamoja album of the year na best duo/ group. Wasanii wengine waliopata tuzo ni Zahara, Kabomo Nakhane Toure, iFani Big Nuz, Mi Casa Music na wengine.

Post a Comment

أحدث أقدم