G-Nako asema Weusi wanakuja na project mpya ya muziki.

Nikki wa 2,Joh Makini na G.Nako wakiwa katika project yao mpya ya muziki
Nikki wa 2,Joh Makini na G-Nako wakiwa katika project yao mpya ya muziki


Msanii kutoka kampuni ya Weusi, G-Nako amesema picha iliyozagaa kwenye mitandao mbalimbali ni ya ujio wa project yao mpya.


Rapper huyo ameiambia bongo5 kuwa watandaelea kuachia picha hiyo izagae sehemu mbambali ili maswali yaendelee kuongozeka mpaka pale watakapotoa jibu la maswali yao. “Tunataka iendelee kuleta maswali kwa wadau mpaka tutapotuja kuiotea sisi wenyewe. Kuna project inakuja ya kimuziki,yaani watu wanatakiwa wasubiri kitu kutoka kwa weusi ndio kitu ambacho ninaweza kuzungumza kwa sasa ila watambue muziki ni kazi yetu.”

Post a Comment

أحدث أقدم