
Kiota kipya cha
starehe kimefunguliwa maeneo ya Mbezi Tangi Bovu zamani palikuwa
panaitwa TOP GEREJI sasa wapo watu wapyaaaaaaa halafu leo Jumamosi
wakati ukisherehekea sikukuu ya Muungano jamaa wanakupa burudani
matataaaaaa hahahaaa #niSHIDAmpyaaaaaaa jijini. Ijumaa ijayo ndio siku ya uzinduzi rasmi kabisa sasa wakazi wa Mbezi beach na vitongoji vyake sehemu ndio hii sasa

Hii ni kaunta ya nje kama inavyoonekana

Sehemu nzuri yakukaa na marafiki zako na kubadilishana mawazo

Unapoingia Lounge unakutana na mchoro matataaaaaa

Hii ni kaunta ya ndani so unaweza kukaa nje au ukaingia ndani na ukaendelea na burudani kama kawa




Wapenda Pool Table mzigo upo

Na wale wavuta sheesha basi mzigo upo pia




Mziki ni kama kawa lazima uwepo
Post a Comment