Viongozi wa ZFA na Wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt wa
kwanza Manager wa Grand Malt Ndg Emmanuel Mackando, Meneja Masoko wa
Grand Malt Ndg. Fimbo Bultallah.Makamu Mwenyekiti wa Barazala Michezo
Zanzibar Ndg Khamis Said na Rais wa ZFA Zanzibar Ravia Idarus,
wakifuatilia mchezo huo wa funga dimba wa ligi Kuu ya Grand Malt, kati
ya Polisi na Jamuhuri imeshinda 1--0.
Mshambuliaji wa timu ya Jamuhuri akimpita beki wa timu ya KMKM katika
mchezo wa funga dimba la Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, mchezo
uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Jamuhuri imeshinda 1-0, na
kuikosesha Ubingwa timu ya Polisi ilitakiwa kushinda mchezo huu ili
kutangazwa bingwa, hatimai Timu ya KMKM imeweza kutetea Ubungwa wake kwa
kuifunga timu ya Chipukizi kwa mabao 3--2 mchezo uliofanyika uwanja wa
Gombani kisiwani Pemba.
Beki wa timu ya Polisi mwenye jezi ya bluu akizua mpira katika mchezo
huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt.uliofanyika uwanja wa Amaan.Timu
ya Jamuhuri imeshinda 1--0
Mshambuliaji wa timu ya Jamuhuri akimpita beki wa timu ya Polisi katika
mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, ukiwa mchezo wa mwisho wa
Ligi hiyo.
Mashabiki wa michezo Zanzibar wakiishangilia timu ya Jamuhuri baada ya
kufunga bao laushindi dhidi ya Polisi likiwabao la kwanza katika mchezo
huo lilofungwa katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Viongozi wa timu washiriki wa ligi ya Zanzibar wakifuatilia mchezo huo uliofanyika uwanja wa Amaan.
Golikipa wa timu yaJamuhuri akiokoa moja ya mashambulio golini kwake.
Mwanadada wa Kampuni ya Grand Malt akiburudika na kinywaji hicho huku
akiangalia mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa kiknywaji hicho
akiwa katika uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji wa timu yaPolisi akimpit beki wa timu ya Jamuhuri
Wakiwania mira wachezaji wa timu ya Polisi na Jamuhuri.
Wachezaji wa timu ya Jamuhuri wakishangilia ushindi wao wa bao moja
dhidi ya timu ya Polisi kwa kuwafunga bao hilo la kuagia daraja hilo
إرسال تعليق