Wakati mashabiki wa kundi la muziki linaloiwakilisha vizuri
Afrika kidunia P-Square kutoka Nigeria wanaendelea kuwaombea ndugu hao
wamalize tofauti zao, mke wa Peter Okoye aitwaye Lola Omotayo, amevunja
ukimya kwa kuzungumza baada ya ripoti kumtaja kuwa sehemu ya chanzo cha
matatizo ya familia hiyo yaliyojitokeza.
Kupitia ukurasa wake wa facebook Lola ambaye ni mama wa watoto wawili wa Peter ameandika:
“I’m a Lady of Substance though I have my Shortcomings, I might
not be Loved by Everyone but the People that matters to me hold me in
High Esteem and thats enough for Me.”
Peter Okoye na mkewake Lola
Kwa mujibu wa Naija Gists, chanzo kimoja kimesema ndugu hao wanafanya jitihada za kumaliza tofauti zao.
Post a Comment