Akiwa haonyeshi hata kidogo ishara zozote za kuacha shughuli hiyo akiwa anakimbiza TV za nchini marekani na dunia nzima kwa show yake ijulikanayo kama “American Next Top Model” na akiwa bado kwenye “Runway” kama ada ya models duniani.
“Vogue Magazine Australia Cover” ambayo ametokea mwanamama huyu ni “special collector’s edition for May” ambayo wameamua kumuweka mwanamama huyu kuonyesha kuwa “she’s still got it–just in case anyone had forgotten”. Walisema Global Grind.
Akiwa ndani ya “Alexander McQueen Jacquard Knit Bra and Skirt” Naomi ameomekana kama ni model mpya kabisa kwenye game ya fashion na ameweza kuupa nguvu muonekano wa mavazi hayo ambayo kwa sasa yatakuwa yameshakua maarufu sana kutoka na muonekano alionekana nao katika Magazine hiyo.
Post a Comment