
Korea kazkazini inayafanyia majaribio makombora yake.
Rais Barrack Obama wa Marekani amesema kuwa Korea Kazkazini imekubali kuchagua sera ya mapambano swala ambalo litapelekea jamii ya kimataifa kuzidi kulitenga taifa hilo.
Amesema kuwa hatua ya taifa hilo kutafuta silaha za kinuklia si ishara ya kuwa na uwezo na kwamba taifa hilo halitajipatia heshima kupitia kurusha kombora ama kulituma jeshi lake.
Rais Obama amewasili nchini Malaysia,ikiwa ni ziara yake ya tatu ya bara Asia.
إرسال تعليق