Ombi;- Maandamano ya Amani ,kuwakilisha Barua zetu Ofice za UN.


1953693
Prime Minister Muhammed Shamte Hamad (as Head of Government of the independent and Sovereign State of Zanzibar) day of 16th December, 1963 to the General Assembly of the United Nations Organization in New York. znz-un-1963-300x195
Kama hakuna Mkataba wa Muungano UN basi nikudai kiti chetu Umaja wa Mataifa anbacho kiko wazi Tokea 16 December 1963 kiko wazi kina tusubiri.
Ndugu zangu Wazanzibar Waloko nchi zote ulimwenguni hususani hapa Uengereza na Marekani,
Tunayo fursa mzuri na tunawezaa kuitumia kama Wazanzibar,kuliko hata wale ndugu zetu walioko nyumbani Zanzibar, hapa Uengereza tumeshawahi kufanya mandamano mingi tu ya amani na utulivu na hata kungwa mkono katika Madamano yetu na mataifa jirani zetu kama vile Wakenye, Waganda, Wazaire ,Waburundi na Wasomali ,wote walishiriki kutuunga mkono Mandamano yetu na madai yetu.
Na maandamano yote tuliofanya na tukaonyesha hisia zetu Kama Wazanzibar kwa kupelekaa ujumbe wetu wa barua ,yalileta mafanikio makubwa kwa njia hii au nyingine .
Sasa kwa swala kubwa kama hili ambalo tayari UN wamesha tuonyesha GREEN LIGHT kuikana SMT kuwa UN hawana HATI ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Sasa vipi sisi Wananchi wa Zanzibar tunyamaze kimya tu hio itakua ndio imetosha ?.
TUNASUBIRI NINI WAZANZIBAR ?
Kuna haja na sisi wananchi wa Zanzibar kuwakilisha barua zetu katika ofisi za UN ili kujua UN kua kwela Wananchi wa Zanzibar na wao hawako nyumba kwa jambo hili wanahitaji ukweli kutoka kwetu UN?.
Hii itasaidia kuona kua hawa watu hawajalala wako macho na tuneless kuzarau lakini tukaja tukaona kumbe mandamano yetu yameleta mafanikio makubwa katika nchi yetu tuibendayo .
Tukisema Tumsubiri Mh Jussa au Mtikila hii itakua hatukuitendea haki Zanzibar na kizazi chetu cha badae kwa vile hili jambo linawahusu Wa-Zanzibar wote wenye uchungu na Zanzibar yetu.
Tufanyeni Mandamano ambayo tumeshawahi kufanya ili kuwakilisha barua zetu katika ofisi za UN, kwa wale wenye kujua taratibu za ku- organise mandamano ya nyuma tunawaomba watutayarishie kitu hishi haraka.
Na tutakua bega kwa bega ,kwa jambo hili linalotuhusu sote, na nchi hizi ukifuata taratibu hapigwi mtu ,uhuru wako unaheshimiwa na maoni yako yanaheshimia has longer undefeated taratibu za kisheria, na sisi tunaza record Wazanzibar kufanya mandamano ya peace na amani hapa Uk.
Na mandamano yetu hayahusiani na siasa ccm au cuf au ya chama chochote kile ,ni maandamano ya Wazanzibar kuwakilisha Barua yetu UN ili kupata jibu kwa UN kuhusu kazia hii?. Na kamala hatma ya Zanzibar yetu.
Hii ni fursa azimu Wazanzibar tuitumieni ,tukishindwa kufanya hivi basi Katiba na Wajumbe wa katiba tusiwategemee kwa hili,wengi wao wapo pale kwa maslahi yao binafsi na wamejigawa .official
Na hio katiba yote haina kichwa wala miunguu ikiwa hakuna Mkataba wa Muungano halali Umaja wa Mataifa. OFFITI

Post a Comment

Previous Post Next Post