
Mbunge
mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na
mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa
kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa kumchagua kuwa mbunge wao
uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi
imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete kuwa mshindi katika uchaguzi
uliofanyika juzi Aprili 6.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG).

Mke
wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia
mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Bwilingu
uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana.

Mbunge
mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa
Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika
jana jimboni humo.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG).
Post a Comment