Picha: Hili ni gari jipya la kifahari la Mrisho Mpoto?.

10255675_10152315259181001_2072835938830301636_nMrisho Mpoto amenunua gari jipya na la kifahari? Ni ngumu kuwa na jibu sahihi kwa sasa lakini hivyo ndivyo inavyoonekana kutokana na picha aliyoiweka Mwana FA kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha Mjomba akiwa pembeni ya gari aina ya Toyota Prado New Model ya rangi nyeusi. “Unaleta mchezo na Mjomba sio,” ameandika FA kwenye picha hiyo.
Tatizo ni kuwa pamoja na kuwa na gari jipya, Mjomba bado havai viatu!

Post a Comment

أحدث أقدم