Tanzania All Stars – Miaka 50 ya Muungano (Video:Teaser)

www.bongoflavalink.blogspot.com

Zikiwa zimebaki siku chache tu tusherehekee miaka 50 ya muungano wasanii wa muziki wameungana na kutengeneza wimbo wa pamoja kwa ajili ya kusherehekea siku hiyo. Wimbo huu umewakutanisha wasanii wa nyimbo za Injili, Taarab na Bongo Flava. Wimbo umeandikwa na Ditto na Amini na kurekodiwa kwenye studio za Surround Sounds. Na hii ni video Teaser ya wimbo huo utaotoka siku za hivi karibuni.

Post a Comment

أحدث أقدم