PICHA JWTZ:- TWAJIVUNIA JESHI LETU IMARA/SHUPAVU NDANI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


17Rais Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua kwenye uwanja wa Uhuru. 
3Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.4Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.5Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui.6Sasa ni zana za kivita7Hiki ni Kifaru9Kifaru cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo.10Wananchi wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo.11Makombora mazito ya kivita yakipita 13Makombora ya kutungulia ndege za adui nayo yakionyeshwa kwa wananchi.14Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.15Askari wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa Uhuru baada ya  kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000 angani.16Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete.

 
 Kikosi cha Makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa sherehe za miaka 50 ya Muungano.
 Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano ambazo zimefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
 Kikosi cha Makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano.
 Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.
 Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu.
 Kikosi cha Wanamaji
 Ndege za kivita zikilinda Ndege ya Rais katika maonyesho ya Ndege yaliofanyika kwenye Kilele cha  Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano.
 Askari wa kikosi cha Mwamvuli akishuka kutoka futi 4500 kwenye uwanja wa Uhuru kwenye kilele cha miaka 50.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pongezi mmoja wa wanajeshi wa kikosi cha mwamvuli .

1 Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post