Video hii imetengenezwa chini ya director
Eddy wa Creative Minds Tz…. Hii ni itakua video ya kwanza kwa msanii
huyu TheKISSER STRAWBERRY katika wimbo uitwao UMEPENDEZA ambao
amemshilikisha Jacko Elly wimbo ambao umetoka mwezi wa kwanza mwaka
huu,video hii inatarajiwa kutoka mapema kabla ya mwezi wa 5 kuisha
إرسال تعليق