
Mmmh makubwa ya wakubwa
waliompigia kura ndio hao wanamchambua huko insta, yaani Instagram ni ya
kiswahili sana, nasubiri siku niamke nikute imefungwa, maana majority
hawana kazi ya kufanya zaidi ya kufungua fake accounts na kutukana,
wakiamka asubuhi before kupiga mswaki wanapitia pics za watu ili wajue
cha kuwatukana hivi unafaidika nini yarabi?? kujiita Team mavimavi na
Team ujinga, like pic n comment where necessary usipojisikia kausha sasa
matusi ya nini
hilo shindano lilikuwa
wazi, wanaadam ndio wamepiga kura sasa kama kashinda kuna ubaya? after
all katika mashindano lazima atokee mshindi tupende tusipende, waandaji
walitoa nafasi kwa wasomaji kuchagua wanaomuona bora na wakamchagua sasa
ubaya wa nini kumnanga ooh hakustahili nyie si ndio wapiga kura sasa
makelele ya nini khaaaa
katika hilo shindano Wema alikuwa anashindana na Wolper,Lulu,Nelly,Jokate na Wema kuibuka mshindi
إرسال تعليق